sw_dan_text_ulb/08/13.txt

1 line
332 B
Plaintext

\v 13 Kisha nilimsikia mtakatifu mmoja akiongea na mtakatifu mwingine akamjibu, " Mambo haya yatadumu kwa muda gani, maono haya ya sadaka ya kuteketezwa, dhambi ile iletayo uharibifu, kukanyagisha patakatifu na jeshi? \v 14 Aliniambia, " Itadumu kwa jioni na asubuhi zipatazo 2,300. Baada ya hapo, mahali patakatifu patawekwa sawa."