sw_dan_text_ulb/07/15.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 15 Na kwangu mimi, Danieli, roho yangu ilihuzunishwa ndani yangu, na maono niliyoyaona katika akili zangu yalinisumbua. \v 16 Nilimsongelea mmoja wa hawa walikuwa wamesimama hapo na nikamwomba anioneshe maana ya mambo haya.