sw_dan_text_ulb/06/13.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 13 Kisha wakamjibu mfalme, " Mtu yule Daniel, ambaye ni mmoja wa watu wa mateka kutoka Yuda, hakutii wewe, mfalme wala maagizo yako uliyo tia sahihi. Yeye humwomba Mungu wake mara tatu kwa siku." \v 14 Mfalme aliposikia haya, alisikitishwa sana, alitumia akili jinsi ya kumwokoa kutoka katika utawala huu. Alisumbuka sana mpaka wakati wa kuzama kwa jua akijaribu kumwokoa Danieli.