sw_dan_text_ulb/03/24.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 24 Kisha Nebukadneza mfalme alishangazwa na alisimama haraka. Aliwauliza washauri wake, "Je, hatukutupa watu watatu wakiwa wamefungwa katika moto?" Nao walimjibu mfalme, "Hakika mfalme." \v 25 Alisema, "Lakini ninaona watu wanne ambao hawajafungwa wakizunguka katika moto, na hawajaumizwa. Mng'ao wa mtu wa nne ni kama mwana wa miungu."