sw_dan_text_ulb/02/25.txt

1 line
292 B
Plaintext

\v 25 Kisha Arioki kwa haraka alimleta Danieli mbele za mfalme na kusema, " Nimempata miongoni wa watu wa mateka wa Yuda mtu ambaye atafunua maana ya ndoto ya mfalme." \v 26 Mfalme akamwambia Danieli (ambaye alikuwa akiitwa Beliteshaza), "Je unaweza kuniambia ndoto niliyoiona na maana yake?"