sw_dan_text_ulb/02/24.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 24 Ndipo Danieli alienda kumwona Arioki (yule ambaye mfalme alimchagua kuua kila mtu aliyekuwa na hekima katika Babeli). Alimwendea na kumwambia, "Usiwauwe watu wenye hekima katika Babeli. Nipeleke kwa mfalme na nitamwonesha mfalme tafsiri ya ndoto yake."