sw_dan_text_ulb/02/19.txt

1 line
195 B
Plaintext

\v 19 Usiku ule siri ilifunuliwa kwa Danieli katika maono. Kisha Danieli akamtukuza Mungu wa mbinguni \v 20 na kusema, "Litukuzwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na nguvu ni zake.