\v 17 Hawa wanyama nne wakubwa ni wafalme wanne ambao watakoatokea katika nchi. \v 18 Lakini watu watakatifu wa Mungu aliyejuu wataupokea ufalme na wataumiliki milele na milele.'