Thu Apr 27 2023 13:41:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 13:41:10 +03:00
parent a15728111b
commit d0724477d5
3 changed files with 5 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Kisha aliniambia, "Usiogope, Danieli. Tangu siku ya kwanza ulipoiweka akili yako kutaka kufahamu na kujinyenyekeza mwenyewe mbele ya Mungu, maneno yako yalisikiwa, na nimekuja kwa sababu ya maneno yako.\v 13 Mwana wa mfalme wa ufalme wa Uajemi alinizuia, na niliwekwa huko na mfalme wa Uajemi kwa siku ishirini na moja. Lakini Mikaeli, mmoja kati ya wakuu alikuja kunisaidia. 14 Sasa nimekuja kukusaidia ili ufahamu kile kitakachotokea kwa watu wako katika siku za mwisho. Kwa kuwa maono ni kwa ajili siku ambazo hazijatokea bado. 15 Na alipokuwa akali akiniambia maneno haya, niligeuza uso wangu na kuuelekeza chini na sikuwa na uwezo wa kuzungumza. 16 Yeye aliyekuwa kama wana wa mtu alinigusa mdomo wangu na nifumbua kinywa changu na nilimwambia huyo aliyekuwa amesimama mbele yangu: "Bwana wangu, niko katika masumbuko makali kwa sababu ya maono; sina nguvu ndani yangu iliyosalia. 17 Mimi ni mtumishi wako. Je, ninawezaje kuongea na Bwana wangu? Kwa kuwa sasa sina nguvu, na hakuna pumzi iliyosalia ndani yangu." 18 Tena yule mwenye mwonekano wa mtu alinigusa na kunitia nguvu. 19 Alisema, "Usiogope, mtu ulithaminiwa sana. Amani na iwe kwako! Uwe mwenye nguvu, uwe na nguvu!" Na alipokuwa anaongea na mimi, nilipata nguvu. Nilimwambia, "Bwana wangu na aseme, kwa kuwa umenitia nguvu." 20 Aliniambia, "Je unajua ni kwanini nimekuja kwako? Nitarudi hivi karibuni kupigana na mkuu wa Uajemi. Na nitakapoenda, mkuu wa Ugiriki atakuja. 21 Lakini nitakwambia kile kilichoandikwa katika Kitabu cha Ukweli. Hakuna yeyote anayejionesha kuwa na nguvu pamoja nami dhidi yao, isipokuwa Mikaeli mkuu wenu."
\v 12 Kisha aliniambia, "Usiogope, Danieli. Tangu siku ya kwanza ulipoiweka akili yako kutaka kufahamu na kujinyenyekeza mwenyewe mbele ya Mungu, maneno yako yalisikiwa, na nimekuja kwa sababu ya maneno yako. \v 13 Mwana wa mfalme wa ufalme wa Uajemi alinizuia, na niliwekwa huko na mfalme wa Uajemi kwa siku ishirini na moja. Lakini Mikaeli, mmoja kati ya wakuu alikuja kunisaidia.

1
10/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Sasa nimekuja kukusaidia ili ufahamu kile kitakachotokea kwa watu wako katika siku za mwisho. Kwa kuwa maono ni kwa ajili siku ambazo hazijatokea bado. \v 15 Na alipokuwa akali akiniambia maneno haya, niligeuza uso wangu na kuuelekeza chini na sikuwa na uwezo wa kuzungumza.

View File

@ -184,6 +184,8 @@
"10-02",
"10-04",
"10-07",
"10-10"
"10-10",
"10-12",
"10-14"
]
}