Thu Apr 27 2023 11:38:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 11:38:26 +03:00
parent f38b922f94
commit 7ec0c85f6e
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Kisha katika mapambazuko mfalme aliamka na kwa haraka alienda kwenye tundu la simba. 20 Na alipokaribia kwenye tundu, alimwita Danieli kwa sauti ya huzuni, akimwambia Danieli, "Danieli, mtumishi wa Mungu aliye hai, je Mungu wako ambaye anamtumkia daima ameweza kukuokoa kutoka katika simba? 21 Ndipo Danieli akamwambia mfalme, "Mfalme, uishi milele! 22 Mungu wangu amemtuma mjumbe na amevifunga vinywa vya simba, na hawajaweza kunidhuru. Kwa kuwa sikuwa na hatia yoyote mbele yake na pia mbele yako, ewe mfalme, na sijakufanyia jambo lolote la kukudhuru." 23 Basi mfalme alikuwa na furaha sana. Alitoa agizo kwamba wanatakiwa wamtoe Danieli nje ya tundu. Hivyo Danieli aliondolewa kutoka katika tundu. Hakuna dhara lolote lililoonekana kwake, kwa kuwa alikuwa amemtumainia Mungu wake. 24 Mfalme alitoa agizo, waletwe wale watu waliomshitaki Danieli na kisha akawatupa wao katika tundu la simba - wao, na watoto wao, na wake zao. Kabla hawajafika sakafuni, simba waliwararua na kuvunjavunja mifupa yao vipande vipande. 25 Kisha mfalme Dario aliandika ujumbe kwa watu wote, mataifa na lugha ambazo ziliishi katika dunia yote: "Amani na iongezeke kwenu. 26 Ninaagiza kwamba katika utawala wote wa ufalme wangu watu watetemeka na kumcha mbele ya Mungu wa Danieli, kwa kuwa ni Mungu aliye hai na huishi milele, na ufalme wake hauwezi kuharibiwa; utawala wake utakuwepo hadi mwisho. 27 Yeye anatuhifadhi salama na kutuokoa, na anafanya ishara na maajabu mbinguni na duniani; amemhifadhi Danieli salama dhidi ya uwezo wa simba." 28 Na hivyo basi, Danieli alifanikiwa katika utawala wa Dario na katika utawala wa Koreshi
\v 19 Kisha katika mapambazuko mfalme aliamka na kwa haraka alienda kwenye tundu la simba. \v 20 Na alipokaribia kwenye tundu, alimwita Danieli kwa sauti ya huzuni, akimwambia Danieli, "Danieli, mtumishi wa Mungu aliye hai, je Mungu wako ambaye anamtumkia daima ameweza kukuokoa kutoka katika simba?

1
06/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Ndipo Danieli akamwambia mfalme, "Mfalme, uishi milele! \v 22 Mungu wangu amemtuma mjumbe na amevifunga vinywa vya simba, na hawajaweza kunidhuru. Kwa kuwa sikuwa na hatia yoyote mbele yake na pia mbele yako, ewe mfalme, na sijakufanyia jambo lolote la kukudhuru."

1
06/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Basi mfalme alikuwa na furaha sana. Alitoa agizo kwamba wanatakiwa wamtoe Danieli nje ya tundu. Hivyo Danieli aliondolewa kutoka katika tundu. Hakuna dhara lolote lililoonekana kwake, kwa kuwa alikuwa amemtumainia Mungu wake.

1
06/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Mfalme alitoa agizo, waletwe wale watu waliomshitaki Danieli na kisha akawatupa wao katika tundu la simba - wao, na watoto wao, na wake zao. Kabla hawajafika sakafuni, simba waliwararua na kuvunjavunja mifupa yao vipande vipande. \v 25 Kisha mfalme Dario aliandika ujumbe kwa watu wote, mataifa na lugha ambazo ziliishi katika dunia yote: "Amani na iongezeke kwenu.

View File

@ -127,6 +127,9 @@
"06-13",
"06-15",
"06-16",
"06-17"
"06-17",
"06-19",
"06-21",
"06-23"
]
}