Wed Apr 26 2023 16:45:33 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-26 16:45:33 +03:00
parent 0b54306bcb
commit 5bcfc2599e
4 changed files with 6 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 \v 22 \v 20 Mti ule uliouona - uliokua na ukawa na wenye nguvu, na ambao sehemu yake ya juu ilifika hata mbinguni, na ambao waweza kuonekana kutoka miisho ya dunia yote - 21 ambao majani yake ni mazuri, na matunda yake yalikuwa ni mengi, ili kwamba ndani yake kulikuwa na chakula cha wote, na chini yake wanyama wa mwituni walipata kivuli, na ndani yake ndege wa angani waliishi - 22 huu mti ni wewe, mfalme, wewe uliyekua na kuwa na nguvu. Ukuu wako umeongezeka na kufika mbinguni, na mamlaka yako yamefika hata miisho ya dunia. 23 Ewe mfalme, ulimwona mjumbe akishuka kutoka mbinguni na akisema, "Ukateni mti na uteketezeni, lakini kiacheni kisiki cha mizizi yake katika nchi, kifungeni kwa ukanda wa chuma na shaba, katikati ya mche mororo katika shamba. Na kilowanishwe na umande kutoka mbinguni. Kiache kiishi katika wanyama wa mwituni katika mashamba mpaka ipite miaka saba.' 24 Mfalme, hii ni tafsiri yake. Ni agizo la Yeye Aliye Juu ambalo limekufikia, bwana wangu mfalme.
\v 20 Mti ule uliouona - uliokua na ukawa na wenye nguvu, na ambao sehemu yake ya juu ilifika hata mbinguni, na ambao waweza kuonekana kutoka miisho ya dunia yote - \v 21 ambao majani yake ni mazuri, na matunda yake yalikuwa ni mengi, ili kwamba ndani yake kulikuwa na chakula cha wote, na chini yake wanyama wa mwituni walipata kivuli, na ndani yake ndege wa angani waliishi - \v 22 huu mti ni wewe, mfalme, wewe uliyekua na kuwa na nguvu. Ukuu wako umeongezeka na kufika mbinguni, na mamlaka yako yamefika hata miisho ya dunia.

1
04/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Ewe mfalme, ulimwona mjumbe akishuka kutoka mbinguni na akisema, "Ukateni mti na uteketezeni, lakini kiacheni kisiki cha mizizi yake katika nchi, kifungeni kwa ukanda wa chuma na shaba, katikati ya mche mororo katika shamba. Na kilowanishwe na umande kutoka mbinguni. Kiache kiishi katika wanyama wa mwituni katika mashamba mpaka ipite miaka saba.'

1
04/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 \v 25 24 Mfalme, hii ni tafsiri yake. Ni agizo la Yeye Aliye Juu ambalo limekufikia, bwana wangu mfalme.

View File

@ -91,6 +91,8 @@
"04-13",
"04-15",
"04-17",
"04-19"
"04-19",
"04-20",
"04-23"
]
}