Thu Apr 27 2023 14:21:13 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 14:21:14 +03:00
parent f96996ea91
commit 4ba2a80648
5 changed files with 9 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 40 Kwa wakati wa mwisho mfalme wa Kusini atamshambulia. Mfalme wa Kaskazini atamvamia kwa ukali wa magari na wapanda farasi, na meli nyingi. Naye ataenda kinyume cha nchi, kuwagharikisha, na kupita katikati.\v 41 Naye ataingia katika nchi ya uzuri, makumi elfu ya Waisraeli wataanguka. Lakini watu hawa watatoroka kutoka katika mkono wake: Waedomu, Wamoabu, na mabaki ya watu wa Amoni. 42 Naye ataunyoosha mkono katika nchi; nchi ya Misri haitaokolewa. 43 Atakuwa na mamlaka juu ya hazina za dhahabu na za fedha, na juu ya utajiri wote wa Misri; watu wa Libya na Ethiopia watakuwa chini katika nyayo za miguu yake. 44 Lakini taarifa kutoka mashariki na kaskazini zitamwogopesha, naye atatoka akiwa mwenye hasira nyingi ili kuwaharibu kabisa na kuwahifadhi kwa ajli ya uharibifu. 45 Naye ataisimamisha hema ya makao yake ya kifalme kati ya bahari na milima ya uzuri wa utakatifu. Ataufikia mwisho wake, na hapatakuwa na msaidizi wa kumsadia.
\v 40 Kwa wakati wa mwisho mfalme wa Kusini atamshambulia. Mfalme wa Kaskazini atamvamia kwa ukali wa magari na wapanda farasi, na meli nyingi. Naye ataenda kinyume cha nchi, kuwagharikisha, na kupita katikati. \v 41 Naye ataingia katika nchi ya uzuri, makumi elfu ya Waisraeli wataanguka. Lakini watu hawa watatoroka kutoka katika mkono wake: Waedomu, Wamoabu, na mabaki ya watu wa Amoni.

1
11/42.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 42 Naye ataunyoosha mkono katika nchi; nchi ya Misri haitaokolewa. \v 43 Atakuwa na mamlaka juu ya hazina za dhahabu na za fedha, na juu ya utajiri wote wa Misri; watu wa Libya na Ethiopia watakuwa chini katika nyayo za miguu yake.

1
11/44.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 44 Lakini taarifa kutoka mashariki na kaskazini zitamwogopesha, naye atatoka akiwa mwenye hasira nyingi ili kuwaharibu kabisa na kuwahifadhi kwa ajli ya uharibifu. \v 45 Naye ataisimamisha hema ya makao yake ya kifalme kati ya bahari na milima ya uzuri wa utakatifu. Ataufikia mwisho wake, na hapatakuwa na msaidizi wa kumsadia.

1
12/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 12

View File

@ -209,6 +209,10 @@
"11-31",
"11-33",
"11-36",
"11-38"
"11-38",
"11-40",
"11-42",
"11-44",
"12-title"
]
}