From 40286030f0694c18d65de80542e8355c60acf5d4 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Wed, 26 Apr 2023 15:42:15 +0300 Subject: [PATCH] Wed Apr 26 2023 15:42:14 GMT+0300 (East Africa Time) --- 02/07.txt | 2 +- 02/10.txt | 1 + 02/12.txt | 1 + manifest.json | 4 +++- 4 files changed, 6 insertions(+), 2 deletions(-) create mode 100644 02/10.txt create mode 100644 02/12.txt diff --git a/02/07.txt b/02/07.txt index 8a99118..80f1d3e 100644 --- a/02/07.txt +++ b/02/07.txt @@ -1 +1 @@ -\v 7 Wakamjibu tena na kusema, "Mfalme na atuambie, watumishi wake, ndoto nasi tukwambia maana yake." \v 8 Mfalme akawajibu, " Ninajua kwa hakika mnahitaji muda zaidi kwa sababu mmeona maamuzi yangu ni magumu kuhusu jambo hili. \v 9 Lakini kama hamtaweza \ No newline at end of file +\v 7 Wakamjibu tena na kusema, "Mfalme na atuambie, watumishi wake, ndoto nasi tukwambia maana yake." \v 8 Mfalme akawajibu, " Ninajua kwa hakika mnahitaji muda zaidi kwa sababu mmeona maamuzi yangu ni magumu kuhusu jambo hili. \v 9 Lakini kama hamtaweza kuniambia ndoto, kuna sentensi moja tu kwa ajili yenu. Mmeamua kuandaa uongo na maneno ya kudanganya ambayo mmekubaliana kwa pamoja kuniambia mpaka pale nitakapobadili akili zangu. Basi, niambieni ndoto, na kisha nitajua kuwa mnaweza kuitafsiri kwa ajili yangu." \ No newline at end of file diff --git a/02/10.txt b/02/10.txt new file mode 100644 index 0000000..0e5262d --- /dev/null +++ b/02/10.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 10 Watu wenye hekima wakamjibu mfalme, " Hakuna mtu katika dunia anayeweza kutimiza matakwa ya mfalme. Hakuna mfalme yoyote mkuu na mwenye nguvu ambaye alishataka jambo kama hilo kutoka kwa wachawi, wala wenye kuongea na wafu, wala mwenye hekima. \v 11 Kile anachokitaka mfalme ni kigumu, na hakuna yeyote awezaye kumwambia mfalme isipokuwa miungu, ambayo haishi miongoni mwa watu." \ No newline at end of file diff --git a/02/12.txt b/02/12.txt new file mode 100644 index 0000000..32d970b --- /dev/null +++ b/02/12.txt @@ -0,0 +1 @@ + \v 12 Jambo hili lilimfanya mfalme akasirike na kughadhabika sana, na alitoa amri kuwaangamiza wale wote waliojulikana kuwa ni wenye hekima zao katika Babeli. 13 Hivyo, amri ilitoka kwamba wale wote waliojulikana kwa hekima yao ni lazima wauawe. Na kwa sababu ya amri hii, walimtafuta Daniel na rafiki zake ili kwamba wauawe. 14 Ndipo Daniel alipomjibu kwa busara na umakini, Arioki, kamanda wa walinzi wa mfalme, ambaye alikuwa amekuja kuwaua wale wote waliojulikana kuwa na hekima katika Babeli. 15 Danieli alimwuliza kamanda wa mfalme, " Kwanini amri ya mfalme ni ya haraka hivyo?" Hivyo, Arioki akamwambia Danieli kile kilichotokea. 16 Ndipo Danieli aliingia ndani na akaomba ahadi ya muda wa kuonana na mfalme ili kwamba aweze kuwasilisha tafsiri kwa mfalme. 17 Kisha Danieli aliingia ndani ya nyumba na aliwaelezea Hanania, Mishaeli, na Azaria, kile kilichotokea. 18 Aliwasihi kutafuta rehema kutoka kwa Mungu wa mbinguni kuhusiana na siri hii ili kwamba yeye na wao wasije wakauawa pamoja na watu wengine waliosalia waliojulikana kuwa na hekima katika Babeli. 19 Usiku ule siri ilifunuliwa kwa Danieli katika maono. Kisha Danieli akamtukuza Mungu wa mbinguni 20 na kusema, "Litukuzwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na nguvu ni zake. 21 Anabadili wakati na majira; anaondoa wafalme na kuweka wafalme katika viti vyao vya enzi. Anawapa hekima wenye hekima na ufahamu kwa wenye weledi. 22 Hufunua vitu vya chini na vilifichika kwa sababu anajua kile kilicho gizani, naye anaishi pamoja na mwanga. 23 Mungu wa baba zetu, ninakushukuru na kukutukuza wewe kwa ajili ya hekima na nguvu uliyonipa. Sasa umeyafanya yawe wazi kwetu yale tuliyokuomba; umetujulisha mambo yamhusuyo mfalme." 24 Ndipo Danieli alienda kumwona Arioki (yule ambaye mfalme alimchagua kuua kila mtu aliyekuwa na hekima katika Babeli). Alimwendea na kumwambia, "Usiwauwe watu wenye hekima katika Babeli. Nipeleke kwa mfalme na nitamwonesha mfalme tafsiri ya ndoto yake." 25 Kisha Arioki kwa haraka alimleta Danieli mbele za mfalme na kusema, " Nimempata miongoni wa watu wa mateka wa Yuda mtu ambaye atafunua maana ya ndoto ya mfalme." 26 Mfalme akamwambia Danieli (ambaye alikuwa akiitwa Beliteshaza), "Je unaweza kuniambia ndoto niliyoiona na maana yake?" 27 Danieli alimjibu mfalme na kusema, "Siri ambayo mfalme ameiomba haiwezi kufunuliwa na watu wenye hekima, wala wale wenye kuongea na wafu, wala wachawi, na wala wataalamu wa nyota. 28 Isipokuwa kuna Mungu ambaye anaishi mbinguni, ambaye hufunua siri, na amekwisha kukujulisha wewe, mfalme Nebukadneza, kile kitakachotokea katika siku zijazo. Hizi ndizo Ndoto na maono ya akili zako uliyoyaona wakati ulipokuwa umelala kitandani mwako. 29 Na kwako Wewe, mfalme, mawazo yako kitandani mwako yalikuwa ni juu ya mambo yajayo, na yule \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index dd636a2..55d93ca 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -49,6 +49,8 @@ "02-title", "02-01", "02-03", - "02-05" + "02-05", + "02-07", + "02-10" ] } \ No newline at end of file