Wed Apr 26 2023 16:01:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-26 16:01:29 +03:00
parent 8f7a145e22
commit 21cb04af75
5 changed files with 9 additions and 1 deletions

1
02/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Baada yako, ufalme mwingine utainuka ambao ni mdogo kwako, na hata ufalme wa tatu wa shaba utatawala juu ya dunia yote.

1
02/40.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 40 Kutakuwa na ufalme wa tatu, wenye nguvu kama chuma, kwa kuwa chuma huvunja vipande vipande vitu vingine na kupondaponda kila kitu. Itaviharibu vitu hivi vyote na kuvisaga.

1
02/41.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 41 Kama vile ulivyoona, miguu na vidole vilikuwa kwa sehemu vimetengenezwa kwa udongo na kwa sehemu vimefanywa kwa chuma, hivyo utakuwa ni ufalme uliogawanyika; baadhi ya nguvu za chuma zitakuwa ndani yake, kama tu ulivyoona kuwa chuma kimechanganyikana na udongo laini. \v 42 Kama vile vidole vya miguuni vilivyokuwa kwa sehemu vimetengenezwa kwa chuma na kwa sehemu vimetengenezwa kwa udongo, ndivyo ufalme utakuwa kwa sehemu una nguvu na kwa sehemu utakuwa dhaifu. \v 43 Kama ulivyoona chuma kimechanganywa na udongo laini, na hivyo na watu watakuwa wamechanganyikana; hawakai kwa pamoja, kama vile chuma isivyoweza kushikamana na udongo

1
02/44.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 44 Katika siku za wafalme hao, Mungu wa mbinguni ataanzisha ufalme ambao hautaweza kuangushwa, wala kushindwa na watu wengine. Utazivunja falme zingine vipande vipande na kuzikomesha zote, nao utadumu milele. \v 45 Kama tu ulivyoona, jiwe lilichongwa kutoka katika mlima, lakini si kwa mikono ya wanadamu. Lilivunjavunja chuma, shaba, udongo, fedha, na dhahabu katika vipande vipande. Mungu mkuu amekujulisha wewe, mfalme, kile kitakachotokea baada ya haya. Ndoto ni ya kweli na tafsiri yake ni ya kuaminika. 46 Mfalme Nebukadneza alianguka kifudifudi mbele ya Daniel na alimheshimu; aliamuru kwamba sadaka zitolewe na manukato yatolewe kwake. 47 Mfalme alimwambia Danieli, " Hakika Mungu wako ni Mungu wa miungu, Bwana wa wafalme, na ambaye hufunua mafumbo, kwa kuwa umekuwa ukiweza kufumbua mafumbo haya." 48 Ndipo mfalme alimfanya Danieli kuwa wa kuheshimiwa sana na alimpa zawadi nyingi nzuri. Alimfanya kuwa mtawala juu ya jimbo lote la Babeli. Danieli akawa liwali mkuu juu ya watu wenye hekima wa Babeli. 49 Danieli alipeleka ombi kwa mfalme, na mfalme aliwateua Shadraka, Meshaki na Abedinego kuwa watawala juu ya jimbo la Babeli. Lakini Danieli alisalia katika ikulu ya mfalme.

View File

@ -63,6 +63,10 @@
"02-27",
"02-29",
"02-31",
"02-34"
"02-34",
"02-36",
"02-39",
"02-40",
"02-41"
]
}