Thu Apr 25 2024 09:25:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2024-04-25 09:25:31 +03:00
parent 09409f96bd
commit 1337400431
1 changed files with 9 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1,9 @@
\c 9 \v 1 \v 2 dvdchcdi
\c 9 \v 1 Dario mwana wa Ahasuero, wa uzao wa
Wamedi. Alikuwa na Ahasuero ambaye
alifanywa mfalme juu ya ufalme wa watu wa Babeli.
\v 2 Sasa katika mwaka wa kwanza wa utawala wa
Dario, mimi Danieli, nilikuwa najisomea vitabu
vilivyo na neno la Yahweh, neno ambalo lilikuwa
limemjia Yeremia nabii. Niligundua kwamba
kungekuwa na miaka sabini hadi mwisho wa
kuachwa kwa Yerusalemu ungefika.