Wed Apr 26 2023 16:39:33 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
4d90580dd6
commit
0f68669dc7
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 10 Haya ndiyo niliyoyaona katika akili zangu nilipokuwa nimejilaza katika kitanda changu: Nilitazama, na kulikuwa na mti katikati ya dunia, na urefu wake ulikuwa ni mkubwa sana. \v 11 Mti ulikua na ukawa wenye nguvu. Na sehemu ya juu yake ilifika mbinguni, uliweza kuonekana kutoka miisho ya dunia yote. \v 12 Majani yake yalikuwa mazuri, matunda yake yalikuwa ni mengi, na juu yake kulikuwa na chakula kwa ajili ya wote. Wanyama wa mwituni walipata kivuli chini yake, na ndege wa angani waliishi katika matawi yake. Viumbe vyote hai viliishi katika mti huo.
|
|
@ -85,6 +85,8 @@
|
|||
"03-29",
|
||||
"04-title",
|
||||
"04-01",
|
||||
"04-04"
|
||||
"04-04",
|
||||
"04-07",
|
||||
"04-10"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue