1 line
311 B
Plaintext
1 line
311 B
Plaintext
\v 3 Kupitia maarifa ya Mungu tumepata mambo yake yote kwa ajili ya uchaji wamaisha, toka kwa Mungu aliyetuita kwa ajili ya uzuri wa utukufu wake. \v 4 Kwa njia hii alitutumainishia ahadi kuu za thamani. Alifanya hili ili kutufanya warithi wa asili ya Mungu, kwa kadiri tunavyoendelea kuuacha uovu wa dunia hii. |