1 line
461 B
Plaintext
1 line
461 B
Plaintext
\v 16 Kwa kuwa sisi hatukufuata hadithi zilizoingizwa kwa ustadi pale tulipowaeleza juu ya nguvu na kujidhihirisha kwa Bwana wetu Yesu Kristo, bali sisi tulikuwa mashahidi wa utukufu wake. \v 17 Yeye alipokea utukufu na heshima toka kwa Mungu baba pale sauti iliposikika toka katika utukufu mkuu ikisema, "Huyu ndiye mwanangu, mpendwa wangu ambaye nimependezwa naye." \v 18 Tuliisikia sauti hii ikitokea mbinguni pale tulipokuwa naye kwenye ule mlima mtakatifu. |