Fri Sep 01 2023 11:49:42 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 11:49:42 +03:00
parent aa3cd55fa1
commit b4b9ee55e3
5 changed files with 9 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 \v 11 10 Kwa hiyo, ndugu zangu, fanyeni juhudi ili kujihakikishia uteule na wito kwa ajili yenu. Kama mtayafanya haya, hamtajikwaa. 11 Hivyo mtajipatia nafasi ya kuingilia katika ufalme wa milele wa Bwana wetu na mwokozi Yesu Kristo. 12 Kwa hiyo mimi nitakuwa tayari kuwakumbusha mambo haya kila mara, hata kama mnayafahamu, na sasa mmekuwa imara katika kweli. 13 Nafikiria kuwa niko sahihi kuwaamsha na kuwakumbusha juu ya mambo haya, nikiwa ningali katika mwili huu. 14 Kwa maana najua kuwa si muda mrefu nitatengwa na mwili wangu, kama Bwana Yesu Kristo alivyonionyesha. 15 Nitajitahidi kwa bidii kwa ajili yenu ili mkumbuke mambo haya baada ya mimi kuondoka. 16 Kwa kuwa sisi hatukufuata hadithi zilizoingizwa kwa ustadi pale tulipowaeleza juu ya nguvu na kujidhihirisha kwa Bwana wetu Yesu Kristo, bali sisi tulikuwa mashahidi wa utukufu wake. 17 Yeye alipokea utukufu na heshima toka kwa Mungu baba pale sauti iliposikika toka katika utukufu mkuu ikisema, "Huyu ndiye mwanangu, mpendwa wangu ambaye nimependezwa naye." 18 Tuliisikia sauti hii ikitokea mbinguni pale tulipokuwa naye kwenye ule mlima mtakatifu. 19 Tunalo hili neno la unabii lililothibitika, ambalo kwalo mwafanya vyema kulitekeleza. Ni kama taa ing'aayo gizani mpaka kuchapo na nyota za mawio zionekanazo katika mioyo yenu. 20 Tambueni haya ya kwamba, hakuna unabii unaoandikwa kwa fikra za nabii mwenyewe. 21 Kwa kuwa hakuna unabii uliokuja kwa mapenzi ya mwanadamu, isipokuwa wanadamu waliwezeshwa na Roho Mtakatifu aliyeongea toka kwa Mungu.
\v 10 Kwa hiyo, ndugu zangu, fanyeni juhudi ili kujihakikishia uteule na wito kwa ajili yenu. Kama mtayafanya haya, hamtajikwaa. \v 11 Hivyo mtajipatia nafasi ya kuingilia katika ufalme wa milele wa Bwana wetu na mwokozi Yesu Kristo.

1
01/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Kwa hiyo mimi nitakuwa tayari kuwakumbusha mambo haya kila mara, hata kama mnayafahamu, na sasa mmekuwa imara katika kweli. \v 13 Nafikiria kuwa niko sahihi kuwaamsha na kuwakumbusha juu ya mambo haya, nikiwa ningali katika mwili huu. \v 14 Kwa maana najua kuwa si muda mrefu nitatengwa na mwili wangu, kama Bwana Yesu Kristo alivyonionyesha. \v 15 Nitajitahidi kwa bidii kwa ajili yenu ili mkumbuke mambo haya baada ya mimi kuondoka.

1
01/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Kwa kuwa sisi hatukufuata hadithi zilizoingizwa kwa ustadi pale tulipowaeleza juu ya nguvu na kujidhihirisha kwa Bwana wetu Yesu Kristo, bali sisi tulikuwa mashahidi wa utukufu wake. \v 17 Yeye alipokea utukufu na heshima toka kwa Mungu baba pale sauti iliposikika toka katika utukufu mkuu ikisema, "Huyu ndiye mwanangu, mpendwa wangu ambaye nimependezwa naye." \v 18 Tuliisikia sauti hii ikitokea mbinguni pale tulipokuwa naye kwenye ule mlima mtakatifu.

1
01/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Tunalo hili neno la unabii lililothibitika, ambalo kwalo mwafanya vyema kulitekeleza. Ni kama taa ing'aayo gizani mpaka kuchapo na nyota za mawio zionekanazo katika mioyo yenu. \v 20 Tambueni haya ya kwamba, hakuna unabii unaoandikwa kwa fikra za nabii mwenyewe. \v 21 Kwa kuwa hakuna unabii uliokuja kwa mapenzi ya mwanadamu, isipokuwa wanadamu waliwezeshwa na Roho Mtakatifu aliyeongea toka kwa Mungu.

View File

@ -41,6 +41,10 @@
"01-01",
"01-03",
"01-05",
"01-08"
"01-08",
"01-10",
"01-12",
"01-16",
"01-19"
]
}