Fri Sep 01 2023 16:21:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 16:21:34 +03:00
parent e4af278373
commit 4ffb7b41f3
4 changed files with 8 additions and 1 deletions

1
03/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Kwa kuwa vitu vyote vutateketezwa kwa njia hii. Je utakuwa mtu wa aina gani? Uishi kitakatifu na maisha ya kimungu. \v 12 Inakupasa kujua na kutambua haraka ujio wa siku ya Mungu. Siku hiyo mbingu itateketezwa kwa moto. Na vitu vitayeyushwa katika joto kali. \v 13 Lakini kutokana na ahadi yake, tunasubiri mbingu mpya na nchi mpya, ambapo wenye haki wataishi

1
03/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Hivyo wapendwa kwa kuwa tunatarajia vitu hivi, jitahidi kuwa makini na kutolaumika na kuwa na amani pamoja naye. \v 15 Na zingatia uvumilivu wa Bwana wetu katika wokovu, kama mpendwa kaka yetu Paulo, alivyowaandikia ninyi, kutokana na hekima ambayo alipewa. \v 16 Paulo anaongelea hayo yote katika barua zake, kuna vitu ambavyo ni vigumu kuvielewa. Watu wasio na adabu na uimara wameviharibu vitu hivyo, na kama wanavyofanya kwa maandiko. Kuelekea maangamizi yao.

1
03/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Hivyo, wapendwa kwa kuwa mnayafahamu hayo. Jilindeni wenyewe ili kwamba msipotoshwe na udanganyifu wa walaghai na kupoteza uaminifu. \v 18 Lakini mkue katika neema na ufahamu wa Bwana na mwokozi Yesu Kristo. Na sasa utukufu una yeye sasa na milele. Amina.

View File

@ -59,6 +59,10 @@
"03-01",
"03-03",
"03-05",
"03-08"
"03-08",
"03-10",
"03-11",
"03-14",
"03-17"
]
}