1 line
237 B
Plaintext
1 line
237 B
Plaintext
|
\v 5 Kwa sababu hii, fanyeni bidii kuongeza uzuri wa maarifa kwa njia ya imani yenu. \v 6 Kupitia maarifa, kiasi, na kupitia kiasi saburi, na kupitia saburi, utauwa. \v 7 Kupitia utauwa upendo wa ndugu na kupitia upendo wa ndugu, upendo.
|