1 line
442 B
Plaintext
1 line
442 B
Plaintext
\v 10 Basi BWANA akaongea na watumishi wake manabii, akisema, \v 11 "Kwa sababu Manase mfalme wa Yuda amefanya haya machukizo, na kutenda maovu zaidi kuliko yote waliyoyatenda Waamori ambao walikuwa mbele yake walikubali, na pia aliwafanya Yuda kuasi kwa sanamu zake, \v 12 kwa hiyo BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi: Tazama, nakaribia kuleta uovu juu ya Yerusalemu na Yuda ambayo kila mtu asikiapo kuhusu hilo, masikio yake yote yatawasha. |