1 line
354 B
Plaintext
1 line
354 B
Plaintext
\v 15 Ndipo Yehoyada yule kuhani akawaagiza makamanda wa jeshi wa mamia ambao waliokuwa juu ya jeshi, akisema, "Mtoeni kwenye safu." Atakayemfuata, muueni kwa upanga." Kwa kuwa kuhani alisema, "Msimwache auawe kwenye nyumba ya BWANA." \v 16 Hivyo wakamtwaa kadiri walivyokuwa wakiikaribia hiyo sehemu iliyokuwa na farasi wakaingia chini, na akauawa huko. |