sw_2ki_text_reg/04/23.txt

1 line
254 B
Plaintext

\v 23 Mume wake akasema, "Kwa nini unataka kwenda kwake leo? Sio mwezi mpya wala Sabato." alijibu, "Itakuwa sawa." \v 24 Ndipo akatandika kwenye punda na kumwambia mtumishi wake, "Mwendeshe haraka; usinipunguzie mwendo hadi nitakapokwambia ufanye hivyo."