|
\v 23 Mume wake akasema, "Kwa nini unataka kwenda kwake leo? Sio mwezi mpya wala Sabato." alijibu, "Itakuwa sawa." \v 24 Ndipo akatandika kwenye punda na kumwambia mtumishi wake, "Mwendeshe haraka; usinipunguzie mwendo hadi nitakapokwambia ufanye hivyo." |