sw_2ki_text_reg/04/14.txt

1 line
401 B
Plaintext

\v 14 Kisha Elisha akajibu, "Tumfanyie nini kwa ajili yake, sasa?" Gehazi akajibu, "Kweli hana mtoto, na mume wake ni mzee." \v 15 Hivyo Elisha akajibu, "Mwite." Wakati alipomuita, akasimama kwenye mlango. \v 16 Elisha akasema, "Katika kipindi kama hiki mwakani, katika kipindi cha mwaka mmoja, utakuwa ukimkumbatia mtoto." Akasema "Hapana, bwana wangu na mtu wa Mungu, usidanganye kwa mtumishi wako."