\v 20 Tazama, nitakukusanya na baba zako, nawe utawekwa kaburini kwako kwa amani. Macho yako hayataona maafa yote ambayo nitayaleta kwenye hii sehemu. """ Hivyo watu wakachukua ujumbe huu kuurudisha kwa mfalme.