sw_2ki_text_reg/22/17.txt

1 line
710 B
Plaintext

\v 17 Kwa sababu wamenitelekeza na kufukiza ubani kwa miungu mingine, hivyo basi wanaweza kunichochea hasira pamoja na matendo yote waliyoyafanya, kwa hiyo hasira yangu ilikuwa inawaka dhidi ya hii sehemu, na haitazimika."' \v 18 Lakini kwa mfalme wa Yuda, aliye watuma kuuliza mapenzi ya BWANA, hivi ndivyo mtakavyo mwambia: "BWANA, Mungu wa Israeli asema hivi: Kuhusu yale maneno uliyoyasikia, \v 19 kwa sababu moyo wako ulikuwa mlaini, na kwa sababu umejinyenyekesha mwenyewe mbele za BWANA, wakati uliposikia nilichokisema dhidi ya hii sehemu na wenyeji wake, kwamba wanaweza kuwa wakiwa na laana, na kwa sababu ulizozirarua nguo zako na kulia mbele yangu, Nami pia nimekusikia hivi ndivyo BWANA asemavyo.