1 line
339 B
Plaintext
1 line
339 B
Plaintext
\v 8 Hezekia akamwambia Isaya, "Je kutakuwa na alama gani ambayo BWANA ataniponya, na kwamba nitapanda juu hadi kwenye hekalu la BWANA katika siku ya tatu?" \v 9 Isaya akajibu, "Hii ndiyo itakuwa ishara kwako kutoka kwa BWANA kwamba BWANA atafanya kitu amacho alichokisema. Je kivuli kitaenda mbele hatua saba, au kurudi nyuma hatua saba?" |