sw_2ki_text_reg/19/32.txt

1 line
382 B
Plaintext

\v 32 Kwa hiyo BWANA asema hivi kuhusu mfalme wa Ashuru: "Hatakuja kwenye huu mji wala kupiga mshale hapa. Wala hatakuja mbele yake na ngao au kujenga boma dhidi yake. \v 33 Njia ile ile aliyoijia ndiyo njia atakayoondokea; hatoingia mji huu hivi ndivyo asemavyo BWANA." \v 34 Kwa maana nitaulinda huu mji na kuuokoa, kwa ajili yangu mwenyewe na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu."'