sw_2ki_text_reg/10/01.txt

1 line
502 B
Plaintext

\c 10 \v 1 Basi Ahabu alikuwa na watoto sabini katika Samaria. Yehu akaandika barua na kuzituma kwenda Samaria, kwa watawala wa Yezreeli, pamoja na wazee na walinzi wa wana wa Ahabu akisema, \v 2 Hivyo basi, haraka iwezekanavyo barua hii ikufikiapo "Wana wa bwana wako pamoja nawe, kwa kuwa mna magari na farasi na mji wenye boma na silaha. \v 3 mchagueni aliye bora na anayestahili miongoni mwa mtoto wa bwana wenu na kumuweka kwenye kiti cha kifalme cha baba yake, na kupigania ufalme wa bwana wenu."