1 line
390 B
Plaintext
1 line
390 B
Plaintext
\v 3 \v 4 3 Lakini malaika wa Yahwe wakamwambia Eliya Mtishbi, " Inuka, nenda ukaonane na wajumbe wa mfalme wa Samaria, na uwaulize, 'Je ni kwa sababu hakuna Mungu katika Israel hata mnakwenda kuuliza kwa Baal-Zebebu, mungu wa Ekroni? 4 Kwa hiyo Yahwe anasema, "Hutaweza kushuka chini kutoka kwenye kitanda ambacho ulichokipanda; badala yake, utakufa hakika. Baada ya hapo Eliya akaondoka. |