1 line
348 B
Plaintext
1 line
348 B
Plaintext
\v 30 \v 31 30 Lakini mama yake na huyo mtoto akasema, "Kama BWANA aishivyo, na kama uishivyo, sitakuacha." Hivyo Elisha akainuka na kumfuata. 31 Gehazi akawatangulia na kulaza ile fimbo kwenye uso wa yule mtoto, lakini yule mtoto hakuongea wala kusikia. Hivyo baada ya hapo Gehazi akarudi kuonana na Elisha na kumwambia akisema, "Mtoto hakuamka." |