sw_2ki_text_reg/04/25.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 25 \v 26 25 Hivyo alienda na kuja na mtu wa Mungu katika mlima Karmeli. Basi wakati mtu wa Mungu alipomuona kwa mbali, akamwambia Gehazi mtumishi wake, "Tazama, mwanamke Mshunami anakuja. 26 Tafadhali mkimbilie na umwambie, 'Hamjambo kwako pamoja na mume wako na mtoto wako?" Akajibu, "Hawajambo."