1 line
309 B
Plaintext
1 line
309 B
Plaintext
\v 12 12 Elisha akamwambia Gehazi mtumishi wake, "Mwite huyu Mshunami." Wakati alipomuita, alisimama mbele yake. \v 13 13 Elisha akamwambia, "Mwambie, 'Umetusumbukia kwa kutujali. Nini kifanyike kwa ajili yako? Tunaweza kukuombea kwa mfalme au kamanda wa jeshi?"" Akajibu, "Ninaishi miongoni mwa watu wangu." |