sw_2ki_text_reg/19/05.txt

1 line
388 B
Plaintext

\v 5 Hivyo watumishi wa mfalme Hezekia wakaja kwa Isaya, \v 6 na Isaya akawaambia, "Mwambieni bwana wenu: 'BWANA asema hivi, 'Usiyaogope maneno ambayo uliyoyasikia, pamoja na kwamba watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana. \v 7 Tazama, nitaweka roho ndani yake, na yamkini atasikia taarifa na kurudi kwenye nchi yake mwenyewe. Nitamfanya aanguke kwa upanga katika nchi yake mwenyewe.'"