sw_2ki_text_reg/14/11.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 11 Lakini Amazia hakutaka kusikia. Hivyo Yehoashi mfalme wa Israeli akakwea yeye na Amazia mfalme wa Yuda wakakutana uso kwa uso huko Beth Shemeshi, ambayo ilikuwa ya Yuda. \v 12 Yuda walishindwa mbele ya Israeli, na kila mtu akakimbia nyumbani.