\v 3 Wakamwambia,Hezekia wakisema, "Siku hii ni siku ya mateso, shutuma, na fedheha, kwa kuwa wakati umewadia watoto kuzaliwa, lakini hakuna nguvu ili wazaliwe. \v 4 Inaweza kuwa BWANA Mungu wako atasikia maneno yote ya amiri jeshi mkuu, ambaye mfalme wa Ashuru bwana wake amemtuma kumdhihaki Mungu aliye hai, naye atayakemea yale maneno ambayo BWANA Mungu wako aliyasikia. Sasa inua maombi yako juu kwa ajili ya mabaki yaliyo bakia hapo."'