Thu Apr 27 2023 21:59:02 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 21:59:02 +03:00
parent f1ccbe57aa
commit d180cd3971
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 17 Lakini yule mwanamke akabeba mimba na kujifungua mtoto wa kiume kipindi hicho hicho katika mwaka uliofuata, kama Elisha alivyokuwa amemwambia. \v 18 18 Wakati mtoto alipokuwa mkubwa, akaenda kwa baba yake siku moja, ambaye alikuwa na watu wanaovuna. \v 19 19 Akamwambia baba yake, "Kichwa changu, kichwa changu." Baba yake akamwambia mtumishi wake, "Mbebe mpeleke kwa mama yake." \v 20 20 Wakati mtumishi alipombeba kumrudisha kwa mama yake, yule mtoto alikaa kwenye magoti yake hadi mchana na baada ya hapo mtoto alikufa.
\v 17 Lakini yule mwanamke akabeba mimba na kujifungua mtoto wa kiume kipindi hicho hicho katika mwaka uliofuata, kama Elisha alivyokuwa amemwambia. \v 18 Wakati mtoto alipokuwa mkubwa, akaenda kwa baba yake siku moja, ambaye alikuwa na watu wanaovuna. \v 19 Akamwambia baba yake, "Kichwa changu, kichwa changu." Baba yake akamwambia mtumishi wake, "Mbebe mpeleke kwa mama yake." \v 20 Wakati mtumishi alipombeba kumrudisha kwa mama yake, yule mtoto alikaa kwenye magoti yake hadi mchana na baada ya hapo mtoto alikufa.

View File

@ -79,6 +79,7 @@
"04-10",
"04-12",
"04-14",
"04-17",
"04-21",
"04-23",
"04-25",