Thu Apr 27 2023 17:19:04 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
37a17e3c9e
commit
cf85095c0e
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 27 Akasema, "Kama BWANA hawezi kukusaidia, je nitakusaidiaje? je kuna kitu chochote kinakuja kutoka sehemu ya kupuria nafaka au shinikizoni?" \v 28 Mfalme akaendelea, "Nini kinakusumbua?" Akajibu, "Huyu mwanamke ameniambia, 'Mtoe mtoto wako ili tuweze kumla leo, na tutamla wa kwangu kesho." \v 29 Hivyo tulimchemsha mtoto wangu na kumla, na siku ya pili yake nikamwambia, "Mtoe mtoto wako ili tuweze kumla, lakini alikuwa amemficha mtoto wake."
|
||||
\v 27 Akasema, "Kama BWANA hawezi kukusaidia, je nitakusaidiaje? je kuna kitu chochote kinakuja kutoka sehemu ya kupuria nafaka au shinikizoni?" \v 28 Mfalme akaendelea, "Nini kinakusumbua?" Akajibu, "Huyu mwanamke ameniambia, 'Mtoe mtoto wako ili tuweze kumla leo, na tutamla wa kwangu kesho.'" \v 29 Hivyo tulimchemsha mtoto wangu na kumla, na siku ya pili yake nikamwambia, "Mtoe mtoto wako ili tuweze kumla, lakini alikuwa amemficha mtoto wake."
|
Loading…
Reference in New Issue