Wed Apr 26 2023 12:20:49 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
bca3e51001
commit
cac2e1908e
|
@ -1,2 +1,2 @@
|
|||
\v 23 23 Naamani akajibu,
|
||||
"Ninafuraha kubwa kukupatia talanta mbili." Naamani akamsihi Gehazi na kumpa talanta mbili za fedha kwenye mifuko miwili ya kubebea, pamoja na nguo mbili za kubadilisha, na kutandaza kwa wafanyakazi wake wawili, ambao walikuwa wamebebea ile mifuko miwili ya fedha mbele ya Gehazi. \v 24 24 Wakati Gehazi alipokuja kwenye ule mlima, alichukua ile mifuko ya fedha kutoka kwenye mikono yao na kuificha kwenye nyumba; akawatuma wale watu, na wakaondoka. \v 25 25 Wakati Gehazi alipoingia na kusimama mbele ya bwana wake, Elisha akamwambia, "Umetokea wapi, Gehazi?" Akajibu, "Mtumishi wako hakwenda mahali."
|
||||
\v 23 Naamani akajibu,
|
||||
"Ninafuraha kubwa kukupatia talanta mbili." Naamani akamsihi Gehazi na kumpa talanta mbili za fedha kwenye mifuko miwili ya kubebea, pamoja na nguo mbili za kubadilisha, na kutandaza kwa wafanyakazi wake wawili, ambao walikuwa wamebebea ile mifuko miwili ya fedha mbele ya Gehazi. \v 24 Wakati Gehazi alipokuja kwenye ule mlima, alichukua ile mifuko ya fedha kutoka kwenye mikono yao na kuificha kwenye nyumba; akawatuma wale watu, na wakaondoka. \v 25 Wakati Gehazi alipoingia na kusimama mbele ya bwana wake, Elisha akamwambia, "Umetokea wapi, Gehazi?" Akajibu, "Mtumishi wako hakwenda mahali."
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 26 26 Elisha akamwambia Gehazi, "Je roho yangu haikuwa na wewe wakati yule mtu alipoyarudisha magari yake ya farasi ili kukutana na wewe? Je huu ni muda wa kupokea pesa na nguo, mashamba ya mzaituni na mizabibu, na kondoo na Ng'ombe, na watumishi wakiume na watumishi wakike? \v 27 27 Basi ukoma wa Naamani utakuwa kwenye uzao wako daima." Basi Gehazi akatoka kwenye uwepo wake, mwenye ukoma kama theluji.
|
||||
\v 26 Elisha akamwambia Gehazi, "Je roho yangu haikuwa na wewe wakati yule mtu alipoyarudisha magari yake ya farasi ili kukutana na wewe? Je huu ni muda wa kupokea pesa na nguo, mashamba ya mzaituni na mizabibu, na kondoo na Ng'ombe, na watumishi wakiume na watumishi wakike? \v 27 Basi ukoma wa Naamani utakuwa kwenye uzao wako daima." Basi Gehazi akatoka kwenye uwepo wake, mwenye ukoma kama theluji.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 6 \v 1 1 Wana wa manabii wakamwambia Elisha, "Sehemu ambayo tunayoishi na wewe ni ndogo sana kwa ajili ya wote. \v 2 2 Tafadhali, tuache tuende Yordani, na umwache kila mtu akate mti hapo ambako tunaweza kuishi." Elisha akajibu, "unaweza kwenda mbele." \v 3 3 Mmoja wao akasema, "Nenda na watumishi wako tafadhali." Elisha akajibu, "Nitaenda."
|
||||
\c 6 \v 1 Wana wa manabii wakamwambia Elisha, "Sehemu ambayo tunayoishi na wewe ni ndogo sana kwa ajili ya wote. \v 2 Tafadhali, tuache tuende Yordani, na umwache kila mtu akate mti hapo ambako tunaweza kuishi." Elisha akajibu, "unaweza kwenda mbele." \v 3 Mmoja wao akasema, "Nenda na watumishi wako tafadhali." Elisha akajibu, "Nitaenda."
|
Loading…
Reference in New Issue