From bae28c8f88e481d7980641ca9cbe7625e6195f76 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Thu, 27 Apr 2023 18:43:05 +0300 Subject: [PATCH] Thu Apr 27 2023 18:43:04 GMT+0300 (East Africa Time) --- 18/31.txt | 2 +- 18/33.txt | 3 +-- 2 files changed, 2 insertions(+), 3 deletions(-) diff --git a/18/31.txt b/18/31.txt index 67b0aa1..38b3a79 100644 --- a/18/31.txt +++ b/18/31.txt @@ -1 +1 @@ -\v 31 Msikilize Hezekia, kwa kuwa hivi ndivyo mfalme wa Ashuru asemavyo: 'Fanyeni amani pamoja nami na njooni kwangu. Kisha kila mmoja wenu atakula kutoka kwenye mzabibu wake mwenyewe na kutoka kwenye mtini wake mwenyewe, na kunywa kutoka kwenye maji kwenye maji ya birika lake mwenyewe. \v 32 Mtafanya hivyo hadi nitakapokuja na kuwachukua kwenda kwenye nchi kama nchi yenu, nchi ya nafaka na divai, nchi ya mkate na mashamba ya mizabibu, nchi ya miti ya mizaituni na asali, ili muweze kuishi na sio kufa.' Msimsikilize Hezekia wakati atakapojaribu kuwashawishi, akisema, 'BWANA atatuokoa.' \ No newline at end of file +\v 31 Msikilize Hezekia, kwa kuwa hivi ndivyo mfalme wa Ashuru asemavyo: "Fanyeni amani pamoja nami na njooni kwangu. Kisha kila mmoja wenu atakula kutoka kwenye mzabibu wake mwenyewe na kutoka kwenye mtini wake mwenyewe, na kunywa kutoka kwenye maji kwenye maji ya birika lake mwenyewe. \v 32 Mtafanya hivyo hadi nitakapokuja na kuwachukua kwenda kwenye nchi kama nchi yenu, nchi ya nafaka na divai, nchi ya mkate na mashamba ya mizabibu, nchi ya miti ya mizaituni na asali, ili muweze kuishi na sio kufa." Msimsikilize Hezekia wakati atakapojaribu kuwashawishi, akisema, "BWANA atatuokoa." \ No newline at end of file diff --git a/18/33.txt b/18/33.txt index c559f04..be94b58 100644 --- a/18/33.txt +++ b/18/33.txt @@ -1,2 +1 @@ -\v 33 Je miungu yeyote ya watu inaweza kuwaokoa kutoka kwenye mikono ya mfalme wa Ashuru? \v 34 Iko wapi miungu ya Hamathi na Arpadi? iko wapi miungu ya Sefarvaimu, Hena, na Iva? Je imeiokoa Samaria kutoka mkono wangu? \v 35 Miongoni mwa miungu yote ya nchi, je kuna mungu ambaye ameiokoa nchi yake kutoka kwenye nguvu yangu? Inawezekanaje BWANA. - akaiokoa Yerusalemu kutoka kwenye uwezo wangu?" \ No newline at end of file +\v 33 Je miungu yeyote ya watu inaweza kuwaokoa kutoka kwenye mikono ya mfalme wa Ashuru? \v 34 Iko wapi miungu ya Hamathi na Arpadi? iko wapi miungu ya Sefarvaimu, Hena, na Iva? Je imeiokoa Samaria kutoka mkono wangu? \v 35 Miongoni mwa miungu yote ya nchi, je kuna mungu ambaye ameiokoa nchi yake kutoka kwenye nguvu yangu? Inawezekanaje BWANA akaiokoa Yerusalemu kutoka kwenye uwezo wangu?" \ No newline at end of file