Wed Apr 26 2023 11:24:40 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
614637a78d
commit
b734fb1595
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 25 \v 1 \v 2 \v 3 1 Ilitokea kwamba katika mwaka wa tisa wa utawala wa mfalme Sedekia, katika mwezi wa kumi, na siku ya kumi ya huo mwezi, Nebukadreza mfalme wa Babeli alikuja pamoja na jeshi lake lote kwa ajili ya kupigana dhidi ya Yerusalemu. Akaweka kambi kuelekeana nayo, na wakajenga ukuta kuizunguka. 2 Hivyo mji huo ulizungukwa mpaka miaka kumi na moja ya utawala wa Sedekia. 3 Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne wa huo mwaka, njaa ilikuwa kali sana kwenye huo mji kwamba hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu wa nchi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 \v 5 4 Wakati huo ule mji ulikuwa umebomoka ndani, na wapiganaji wote wakakimbia usiku kwa njia ya lango kati ya kuta mbili, karibu na bustani ya mfalme, ingawa Wakaldayo walikuwa wote wameuzunguka mji. Mfalme akaenda kuelekea upande wa Araba. 5 Lakini jeshi la Wakaldayo likamfuata mfalme Sedekia na kumchukua katika tambarare ya bonde la Mto Yoradani karibu na Yeriko. Jeshi lake lote lilitawanyika wakamwacha.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 \v 7 6 Wakamkamata mfalme na kumleta mpaka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla, ambapo walipitisha hukumu juu yake. 7 Wakawachinja watoto wake mbele ya macho yake. Kisha wakamtoa macho Sedekia, wakamfunga pingu, na kumpeleka hadi Babeli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 \v 9 \v 10 8 Basi katika mwezi wa tano, katika siku ya saba ya mwezi, ambapo ulikuwa mwaka wa kumi na tisa wa utawala wa Nebukadreza mfalme wa Babeli, Nebuzaradani, mtumishi wa mfalme wa Babeli na amri jeshi wa walinzi wake, wakaja hadi Yerusalemu. 9 Akaichoma moto nyumba ya BWANA, nyumba ya mfalme, na nyumba zote za Yerusalemu; pia kila jengo la muhimu katika mji akayachoma. 10 kuta zote zilizoizunguka Yerusalemu, jeshi lote la Wababeli ambao walikuwa chini ya amri jeshi wa walinzi wakaziharibu.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
S
|
||||
Sura 25
|
Loading…
Reference in New Issue