Wed Apr 26 2023 11:48:40 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-26 11:48:42 +03:00
parent 55e5387303
commit aae02229e3
10 changed files with 10 additions and 11 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 42 \v 43 \v 44 42 Akaja mtu kutoka Baal Shalisha kwa mtu wa Mungu na kumletea chakula cha kwanza cha mavuno yake mikate Ishirini ya shayiri, na masuke mabichi kwenye gunia. Akasema, "Wape haya watu ili waweze kula." 43 Mtumishi wake akasema, "Je, niandae hii mbele ya watu mia moja?" Lakini Elisha akasema, "Wapeni hawa watu, ili waweze kula, kwa sababu BWANA anasema, 'Watakula na kingine kitabaki."' 44 Basi mtumishi wake akawaandalia mbele yao; wakala, na kuacha kingine kimebaki, kama neno la BWANA lilivyokuwa limesema.
\v 42 42 Akaja mtu kutoka Baal Shalisha kwa mtu wa Mungu na kumletea chakula cha kwanza cha mavuno yake mikate Ishirini ya shayiri, na masuke mabichi kwenye gunia. Akasema, "Wape haya watu ili waweze kula." \v 43 43 Mtumishi wake akasema, "Je, niandae hii mbele ya watu mia moja?" Lakini Elisha akasema, "Wapeni hawa watu, ili waweze kula, kwa sababu BWANA anasema, 'Watakula na kingine kitabaki."' \v 44 44 Basi mtumishi wake akawaandalia mbele yao; wakala, na kuacha kingine kimebaki, kama neno la BWANA lilivyokuwa limesema.

View File

@ -1 +1 @@
\c 5 \v 1 \v 2 1 Basi Naamani, kamanda wa jeshi la mfalme wa Shamu, alikuwa mtu mkubwa na mtu mwenye kuheshimiwa mbele ya bwana wake, kwa ajili yake BWANA aliwapa ushindi Washami. Pia alikuwa hodari, mtu shujaa, lakini alikuwa ana ukoma. 2 Washami walikuwa wametoka kuongoza kikosi na kumchukua kijana mdogo wa kike kutoka nchi ya Israeli. Akamuhudumia mke wa Naamani.
\c 5 \v 1 1 Basi Naamani, kamanda wa jeshi la mfalme wa Shamu, alikuwa mtu mkubwa na mtu mwenye kuheshimiwa mbele ya bwana wake, kwa ajili yake BWANA aliwapa ushindi Washami. Pia alikuwa hodari, mtu shujaa, lakini alikuwa ana ukoma. \v 2 2 Washami walikuwa wametoka kuongoza kikosi na kumchukua kijana mdogo wa kike kutoka nchi ya Israeli. Akamuhudumia mke wa Naamani.

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 \v 4 3 Yule binti akamwambia bibi yake, "Natamani kwamba bwana wangu angelikuwa na nabii ambaye yupo Samaria! Halafu angelimponya bwana wangu ukoma wake. 4 Hivyo Naamani akaingia na kumwambia mfalme kile ambacho yule binti kutoka nchi ya Israeli alichokuwa amekisema.
\v 3 3 Yule binti akamwambia bibi yake, "Natamani kwamba bwana wangu angelikuwa na nabii ambaye yupo Samaria! Halafu angelimponya bwana wangu ukoma wake. \v 4 4 Hivyo Naamani akaingia na kumwambia mfalme kile ambacho yule binti kutoka nchi ya Israeli alichokuwa amekisema.

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 \v 6 5 Kisha mfalme wa Shamu akasema, "Nenda sasa, na nitatuma barua kwa mfalme wa Israeli." Naamani akaondoka na kuchukua talanta zake kumi za fedha, vipande elfu sita vya dhahabu, na nguo kumi za kubadilisha. 6 Pia alichukua barua ya kumpelekea mfalme wa Israeli inayosema, "Sasa wakati hii barua itakapoletwa kwako, utaona kwamba nimemtuma mtumishi wangu Naamani kwako, hivyo basi utamponya ukoma wake."
\v 5 5 Kisha mfalme wa Shamu akasema, "Nenda sasa, na nitatuma barua kwa mfalme wa Israeli." Naamani akaondoka na kuchukua talanta zake kumi za fedha, vipande elfu sita vya dhahabu, na nguo kumi za kubadilisha. \v 6 6 Pia alichukua barua ya kumpelekea mfalme wa Israeli inayosema, "Sasa wakati hii barua itakapoletwa kwako, utaona kwamba nimemtuma mtumishi wangu Naamani kwako, hivyo basi utamponya ukoma wake."

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 \v 9 \v 10 8 Ikawa wakati Elisha mtu wa Mungu aliposikia kwamba mfalme wa Israeli alichana nguo zake, akatuma neno kwa mfalme akisema, "Kwa nini umechana nguo zako? Muache aje kwangu sasa, na atajua kwamba kuna nabii katika Israeli." 9 Basi Naamani akaja na farasi wake na magari yake ya kukokotwa na farasi na kusimama kwenye mlango wa nyumba ya Elisha. 10 Elisha akamtumia mjumbe, akisema, "Nenda na ukazame mwenyewe katika Yordani mara saba, na ngozi ya mwili wako itajirudi; utakuwa msafi."
\v 8 8 Ikawa wakati Elisha mtu wa Mungu aliposikia kwamba mfalme wa Israeli alichana nguo zake, akatuma neno kwa mfalme akisema, "Kwa nini umechana nguo zako? Muache aje kwangu sasa, na atajua kwamba kuna nabii katika Israeli." \v 9 9 Basi Naamani akaja na farasi wake na magari yake ya kukokotwa na farasi na kusimama kwenye mlango wa nyumba ya Elisha. \v 10 10 Elisha akamtumia mjumbe, akisema, "Nenda na ukazame mwenyewe katika Yordani mara saba, na ngozi ya mwili wako itajirudi; utakuwa msafi."

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 \v 12 11 Lakini Naamani alikasirika na kuondoka na kusema, "Tazama, Nilidhani bila shaka angekuja kwangu na kusimama na kuliita jina la BWANA Mungu wake, na kupitisha mkono wake kwenye sehemu ya ugonjwa na kuponya ukoma wangu. 12 Je sio Abana na Faepari, mito ya Damaskasi, bora kuliko maji yote ya Israeli?" Je siwezi kuoga ndani yao na kuwa safi?" Hivyo akageuka na kwenda kwa hasira.
\v 11 11 Lakini Naamani alikasirika na kuondoka na kusema, "Tazama, Nilidhani bila shaka angekuja kwangu na kusimama na kuliita jina la BWANA Mungu wake, na kupitisha mkono wake kwenye sehemu ya ugonjwa na kuponya ukoma wangu. \v 12 12 Je sio Abana na Faepari, mito ya Damaskasi, bora kuliko maji yote ya Israeli?" Je siwezi kuoga ndani yao na kuwa safi?" Hivyo akageuka na kwenda kwa hasira.

View File

@ -1,3 +1,2 @@
\v 13 \v 14 13 Ndipo watumishi wa Naamani wakaja karibu na kumwambia, "Baba yangu, kama yule nabii angekuambia kufanya kitu kigumu, usingelifanya? Je si zaidi basi, atakapokwambia rahisi, 'Zama mwenyewe na uwe safi?" 14 Ndipo akashuka chini na kuzama mwenyewe mara saba
\v 13 13 Ndipo watumishi wa Naamani wakaja karibu na kumwambia, "Baba yangu, kama yule nabii angekuambia kufanya kitu kigumu, usingelifanya? Je si zaidi basi, atakapokwambia rahisi, 'Zama mwenyewe na uwe safi?" \v 14 14 Ndipo akashuka chini na kuzama mwenyewe mara saba
kwenye mto Yordani, akitii maelekezo ya mtu wa Mungu. Nyama ya mwili wake ikarudi tena kama nyama ya mwili wa mtoto mdogo, na alikuwa amepona.

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 \v 16 15 Naamani akarudi kwa yule mtu wa Mungu, yeye na watu wake wengine, na kuja na kusimama mbele yake. Akasema, "Tazama, sasa najua kwamba hakuna Mungu katika Dunia nzima isipokuwa katika Israeli. Kwa hiyo basi, chukua zawadi kutoka kwa mtumishi wako tafadhali." 16 Lakini Elisha akajibu, "Kama BWANA aishivyo, ambaye nimesimama mbele yake, sitapokea chochote."Naamani akamsihi Elisha apokee zawadi, lakini alikataa.
\v 15 15 Naamani akarudi kwa yule mtu wa Mungu, yeye na watu wake wengine, na kuja na kusimama mbele yake. Akasema, "Tazama, sasa najua kwamba hakuna Mungu katika Dunia nzima isipokuwa katika Israeli. Kwa hiyo basi, chukua zawadi kutoka kwa mtumishi wako tafadhali." \v 16 16 Lakini Elisha akajibu, "Kama BWANA aishivyo, ambaye nimesimama mbele yake, sitapokea chochote."Naamani akamsihi Elisha apokee zawadi, lakini alikataa.

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 \v 18 \v 19 17 Hivyo Naamani akasema, "Kama sivyo, nakuomba acha apewe mtumishi wako pale mzigo wa baghala mbili za udongo, kwa kuwa kuanzia sasa, mtumishi wako hatotoa tena sadaka ya kuteketezwa wala dhabihu kwa mungu yeyote isipokuwa BWANA. 18 Katika jambo hili moja BWANA anaweza kumsamehe mtumishi wako, hii ni, wakati mfalme wangu atakapoenda kwenye nyumba ya Rimoni kuabudu pale, na kujifunza kwenye mikono yangu na kumuinamia mwenyewe kwenye nyumba ya Rimoni, BWANA aweze kumsamehe mtumishi wako katika hili jambo." 19 Elisha akamwambia, "Nenda kwa amani." Hivyo Naamani akaondoka.
\v 17 17 Hivyo Naamani akasema, "Kama sivyo, nakuomba acha apewe mtumishi wako pale mzigo wa baghala mbili za udongo, kwa kuwa kuanzia sasa, mtumishi wako hatotoa tena sadaka ya kuteketezwa wala dhabihu kwa mungu yeyote isipokuwa BWANA. \v 18 18 Katika jambo hili moja BWANA anaweza kumsamehe mtumishi wako, hii ni, wakati mfalme wangu atakapoenda kwenye nyumba ya Rimoni kuabudu pale, na kujifunza kwenye mikono yangu na kumuinamia mwenyewe kwenye nyumba ya Rimoni, BWANA aweze kumsamehe mtumishi wako katika hili jambo." \v 19 19 Elisha akamwambia, "Nenda kwa amani." Hivyo Naamani akaondoka.

View File

@ -1,2 +1,2 @@
\v 20 \v 21 \v 22 20 Alikuwa amesafiri lakini umbali mfupi, wakati Gehazi mtumishi wa Elisha mtumishi wa Mungu alisema mwenyewe, "Tazama, bwana wangu amemuachilia huyu Naamani Mshami kwa kuacha kupokea zawadi kutoka kwenye mikono yake ambazo alizileta. Kama BWANA aishivyo, Nitakimbia nikimfuata na kupokea kitu kutoka kwake. 21 Hivyo Gehazi akamfuata Naamani. Wakati Naamani alipomuona mtu mmoja anakimbia akimfuata, aliruka chini kutoka kwenye gari lake kuonana naye na kusema, "Je kila kitu kiko sawa?" 22 Gehazi akasema, "kila kitu kiko sawa. Bwana wangu amenituma, akisema, 'Tazama, sasa wamekuja kwangu kutoka nchi ya mlima ya Efraimu vijana wawili wa watoto wa manabii.
\v 20 20 Alikuwa amesafiri lakini umbali mfupi, wakati Gehazi mtumishi wa Elisha mtumishi wa Mungu alisema mwenyewe, "Tazama, bwana wangu amemuachilia huyu Naamani Mshami kwa kuacha kupokea zawadi kutoka kwenye mikono yake ambazo alizileta. Kama BWANA aishivyo, Nitakimbia nikimfuata na kupokea kitu kutoka kwake. \v 21 21 Hivyo Gehazi akamfuata Naamani. Wakati Naamani alipomuona mtu mmoja anakimbia akimfuata, aliruka chini kutoka kwenye gari lake kuonana naye na kusema, "Je kila kitu kiko sawa?" \v 22 22 Gehazi akasema, "kila kitu kiko sawa. Bwana wangu amenituma, akisema, 'Tazama, sasa wamekuja kwangu kutoka nchi ya mlima ya Efraimu vijana wawili wa watoto wa manabii.
Tafadhali, wapatie talanta ya fedha na nguo mbili za kubadilisha."