Mon Apr 24 2023 15:38:19 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
8b00278644
commit
9568e6b78f
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 5 \v 6 5 Basi akamuacha Elisha na kujifungia mlango yeye na watoto wake. Wakavileta vile vyombo kwake, na akivijaza kwa mafuta. 6 Ikawa vyombo vilipojaa, akamwambia mtoto wake, "Niletee chombo kingine." Ila akamwambia, "Hakuna vyombo vingine." Kisha mafuta yakakoma kutoka.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 7 7 Ndipo akaja na kumwambia mtu wa Mungu. Akasema, "Nenda kauze mafuta; lipa deni lako, na yatakayobaki waachie watoto wako."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
." 8 Siku moja Elisha alitembea Shunemu ambapo mwanamke Mwenye cheo aliishi; alimsihi ale chakula pamoja naye. Ikawa alipopita mara nyingi, angeweza kusimama pale na kula. 9 Huyo mwanamke akamwambia mme wake, "Ona, sasa nadhani kwamba huyu ni mtu mtakatifu wa Mungu ambaye hupita siku zote.
|
Loading…
Reference in New Issue