Thu Apr 27 2023 19:26:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 19:27:01 +03:00
parent 50bc28d76b
commit 6c76e6a47f
1 changed files with 1 additions and 2 deletions

View File

@ -1,2 +1 @@
\v 16 Basi Isaya akamwambia Hezekia, "Sikiliza neno la BWANA: \v 17 'Tazama siku zinakuja wakati kila kitu kwenye kwenye nyumba yako ya kifalme, vitu ambavyo
baba zako walivitunza huko hadi leo, vitabebwa kwenda Babeli. Hakuna kitakachobakia, asema. BWANA \v 18 Watoto waliozaliwa na wewe, ambao umewazaa wewe mwenyewe watawachukua mbali, na watakuwa matowashi kwenye nyumba ya kifalme ya mfalme wa Babeli.'"
\v 16 Basi Isaya akamwambia Hezekia, "Sikiliza neno la BWANA: \v 17 'Tazama siku zinakuja wakati kila kitu kwenye nyumba yako ya kifalme, vitu ambavyo baba zako walivitunza huko hadi leo, vitabebwa kwenda Babeli. Hakuna kitakachobakia, asema BWANA. \v 18 Watoto waliozaliwa na wewe, ambao umewazaa wewe mwenyewe watawachukua mbali, na watakuwa matowashi kwenye nyumba ya kifalme ya mfalme wa Babeli.'"