Thu Apr 27 2023 15:49:03 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
5306834f44
commit
5fff33c6a3
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 3 Wana wa manabii ambao walikuwa Betheli walikuja kwa Elisha na kumwambia, "Je unajua kwamba BWANA atamwondoa bwana wako kuanzia leo?"' Elisha akajibu, "Ndiyo, nalijua hilo, ila msizungumze kuhusu hilo."' \v 4 Eliya akamwambia, "Elisha, subiri hapa, tafadhali, kwa kuwa BWANA amenituma niende Yeriko." Kisha Elisha akajibu, '"Kama BWANA aishivyo, na kama uishivyo, sitakuacha." Hivyo wakaenda Yeriko.
|
||||
\v 3 Wana wa manabii ambao walikuwa Betheli walikuja kwa Elisha na kumwambia, "Je unajua kwamba BWANA atamwondoa bwana wako kuanzia leo?" Elisha akajibu, "Ndiyo, nalijua hilo, ila msizungumze kuhusu hilo." \v 4 Eliya akamwambia, "Elisha, subiri hapa, tafadhali, kwa kuwa BWANA amenituma niende Yeriko." Kisha Elisha akajibu, "Kama BWANA aishivyo, na kama uishivyo, sitakuacha." Hivyo wakaenda Yeriko.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 5 Kisha wana wa manabii ambao walikuwa Yeriko wakaja kwa Elisha na kumwambia, "'Je unajua kwamba BWANA atamwondoa bwana wako kutoka kwako leo?" Elisha akajibu, "Ndiyo, nalijua hilo, lakini msilizungumzie hilo." \v 6 Kisha Eliya akamwambia, '"kaa hapa, tafadhali, kwa kuwa BWANA amenituma kwenda Yeriko." Elisha akajibu, "Kama BWANA aishivyo, na kama uishivyo, sitakuacha." Hivyo wawili wakaenda mbele.
|
||||
\v 5 Kisha wana wa manabii ambao walikuwa Yeriko wakaja kwa Elisha na kumwambia, "Je unajua kwamba BWANA atamwondoa bwana wako kutoka kwako leo?" Elisha akajibu, "Ndiyo, nalijua hilo, lakini msilizungumzie hilo." \v 6 Kisha Eliya akamwambia, "kaa hapa, tafadhali, kwa kuwa BWANA amenituma kwenda Yeriko." Elisha akajibu, "Kama BWANA aishivyo, na kama uishivyo, sitakuacha." Hivyo wawili wakaenda mbele.
|
|
@ -42,6 +42,8 @@
|
|||
"01-09",
|
||||
"01-11",
|
||||
"01-13",
|
||||
"02-01",
|
||||
"02-03",
|
||||
"03-title",
|
||||
"24-title"
|
||||
]
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue