Wed Apr 26 2023 13:33:57 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-26 13:33:58 +03:00
parent 32739a351e
commit 38beaa281a
6 changed files with 6 additions and 6 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 30 30 Basi mfalme aliposikia yale maneno ya yule mwanamke, akayachana mavazi yake (sasa alikuwa akitembelea kwenye ukuta), na watu wakatazama na kuona kwamba alikuwa amevaa nguo ya gunia \v 31 31 Kisha akasema, "Mungu afanye hivyo kwangu, na zaidi pia, kama kichwa cha Elisha mwana wa Shafati kitabaki juu yake leo."
\v 30 Basi mfalme aliposikia yale maneno ya yule mwanamke, akayachana mavazi yake (sasa alikuwa akitembelea kwenye ukuta), na watu wakatazama na kuona kwamba alikuwa amevaa nguo ya gunia \v 31 Kisha akasema, "Mungu afanye hivyo kwangu, na zaidi pia, kama kichwa cha Elisha mwana wa Shafati kitabaki juu yake leo."

View File

@ -1 +1 @@
\v 32 32 Basi Elisha alikuwa ameketi kwenye nyumba yake, na wazee walikuwa wamekaa pamoja naye. Yule mfalme akamtuma mtu wa mbele yake, lakini wakati mjumbe alipokuja kwa Elisha, akawaambia wazee, "Ona jinsi huyu mwana wa muuaji alivyotumwa kuchukua kichwa changu? Tazama, wakati yule mjumbe atakapokuja, funga mlango, na uushikilie huo mlango funga dhidi yake asiingie. Je sio sauti ya bwana wake nyuma mguuni pake?" \v 33 33 Wakati alipokuwa bado akiongea pamoja nao, kumbe, yule mjumbe alishuka kwake. Mfalme akasema, "Kumbe, masumbuko haya yatoka kwa BWANA. Kwa nini nimsubiri BWANA tena?"
\v 32 Basi Elisha alikuwa ameketi kwenye nyumba yake, na wazee walikuwa wamekaa pamoja naye. Yule mfalme akamtuma mtu wa mbele yake, lakini wakati mjumbe alipokuja kwa Elisha, akawaambia wazee, "Ona jinsi huyu mwana wa muuaji alivyotumwa kuchukua kichwa changu? Tazama, wakati yule mjumbe atakapokuja, funga mlango, na uushikilie huo mlango funga dhidi yake asiingie. Je sio sauti ya bwana wake nyuma mguuni pake?" \v 33 Wakati alipokuwa bado akiongea pamoja nao, kumbe, yule mjumbe alishuka kwake. Mfalme akasema, "Kumbe, masumbuko haya yatoka kwa BWANA. Kwa nini nimsubiri BWANA tena?"

View File

@ -1 +1 @@
\c 7 \v 1 1 Elisha akasema, "Sikiliza neno la BWANA. Hivi ndivyo Yahwe asemavyo: "Kesho muda kama huu kipimo cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, kwenye lango la Samaria."" \v 2 2 Basi yule mkuu ambaye alikuwa akitegemea mkono wake akamjibu mtu wa Mungu, na kusema, "Ona, hata kama BWANA ataweka madirisha mbinguni, je jambo hili linawezekana?" Elisha akajibu, "Ona, utaona ikitokea kwa macho yako mwenyewe, lakini hutakula chochote katika hilo."
\c 7 \v 1 Elisha akasema, "Sikiliza neno la BWANA. Hivi ndivyo Yahwe asemavyo: "Kesho muda kama huu kipimo cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, kwenye lango la Samaria."" \v 2 Basi yule mkuu ambaye alikuwa akitegemea mkono wake akamjibu mtu wa Mungu, na kusema, "Ona, hata kama BWANA ataweka madirisha mbinguni, je jambo hili linawezekana?" Elisha akajibu, "Ona, utaona ikitokea kwa macho yako mwenyewe, lakini hutakula chochote katika hilo."

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 3 Basi, kulikuwa na watu wanne wenye ukoma upande wa nje wa lango la mji. Wakaambizana kila mmoja, "Kwa nini tukae hapa hadi hapo tutakapokufa? \v 4 4 Kama tukisema kwamba tutaenda kwenye ule mji, maana mjini kuna njaa, na tutakufa hapo. Lakini kama tukiendelea kukaa hapa, bado tutakufa. Sawa, njoni, twendeni kwenye lile jeshi la Washami. Kama wakitupa uhai, tutakuwa hai, na kama wakituua, tutakufa tu."
\v 3 Basi, kulikuwa na watu wanne wenye ukoma upande wa nje wa lango la mji. Wakaambizana kila mmoja, "Kwa nini tukae hapa hadi hapo tutakapokufa? \v 4 Kama tukisema kwamba tutaenda kwenye ule mji, maana mjini kuna njaa, na tutakufa hapo. Lakini kama tukiendelea kukaa hapa, bado tutakufa. Sawa, njoni, twendeni kwenye lile jeshi la Washami. Kama wakitupa uhai, tutakuwa hai, na kama wakituua, tutakufa tu."

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 5 Hivyo wakaamka asubuhi kabla giza halijaisha kwenda kwenye kambi ya Washami; Wakati walipofika sehemu ya mwanzo wa kambi, hapakuwa na mtu hapo. \v 6 6 Kwa kuwa Bwana alikuwa amelifanya jeshi la Washami kusikia sauti ya magari ya farasi, na sauti za farasi, sauti za jeshi jingine kubwa, ndipo wakaambizana kila mmoja wao, "Yule mfalme wa Israeli amekodisha wafalme wa Wahiti na Wamisri waje wapigane dhidi yetu."
\v 5 Hivyo wakaamka asubuhi kabla giza halijaisha kwenda kwenye kambi ya Washami; Wakati walipofika sehemu ya mwanzo wa kambi, hapakuwa na mtu hapo. \v 6 Kwa kuwa Bwana alikuwa amelifanya jeshi la Washami kusikia sauti ya magari ya farasi, na sauti za farasi, sauti za jeshi jingine kubwa, ndipo wakaambizana kila mmoja wao, "Yule mfalme wa Israeli amekodisha wafalme wa Wahiti na Wamisri waje wapigane dhidi yetu."

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 7 Hivyo wale maaskari wakaondoka kungali giza; waliacha mahema yao, punda zao, na kambi kama ilivyokuwa, na kukimbia kwa ajili ya maisha yao. \v 8 8 Wakati wale watu wenye ukoma walipokuja sehemu ya mwisho wa kambi, wakaenda kwenye hema moja na kula na kunywa, na kubeba fedha na dhahabu na nguo, na kwenda na kuzificha. Wakarudi na kuingia kwenye hema nyingine na kubeba kutoka pale pia, na kwenda kuvificha.
\v 7 Hivyo wale maaskari wakaondoka kungali giza; waliacha mahema yao, punda zao, na kambi kama ilivyokuwa, na kukimbia kwa ajili ya maisha yao. \v 8 Wakati wale watu wenye ukoma walipokuja sehemu ya mwisho wa kambi, wakaenda kwenye hema moja na kula na kunywa, na kubeba fedha na dhahabu na nguo, na kwenda na kuzificha. Wakarudi na kuingia kwenye hema nyingine na kubeba kutoka pale pia, na kwenda kuvificha.