Wed Apr 26 2023 12:10:50 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-26 12:10:53 +03:00
parent c3a15c4ebd
commit 326df6ba1a
4 changed files with 4 additions and 4 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 32 32Ndipo Elisha alipofika kwenye ile nyumba, yule mtoto alikuwa amekufa na alikuwa bado yupo kwenye kitanda. \v 33 33 Hivyo Elisha aliingia ndani na kufunga mlango yeye mwenyewe na yule mtoto na kuomba kwa BWANA. \v 34 34 Alipanda juu na kulala juu ya yule mtoto; aliweka mdomo wake kwenye mdomo wake, macho yake kwenye macho yake, na mikono yake kwenye mikono yake. Akajinyoosha yeye mwenyewe kwa yule kijana, na mwili wa yule mtoto ukaanza kupata joto. \v 32 Ndipo Elisha alipofika kwenye ile nyumba, yule mtoto alikuwa amekufa na alikuwa bado yupo kwenye kitanda. \v 33 Hivyo Elisha aliingia ndani na kufunga mlango yeye mwenyewe na yule mtoto na kuomba kwa BWANA. \v 34 Alipanda juu na kulala juu ya yule mtoto; aliweka mdomo wake kwenye mdomo wake, macho yake kwenye macho yake, na mikono yake kwenye mikono yake. Akajinyoosha yeye mwenyewe kwa yule kijana, na mwili wa yule mtoto ukaanza kupata joto.

View File

@ -1 +1 @@
\v 35 35 Baada ya hapo Elisha aliinuka na kuanza kutembea kuzunguka kile chumba na kurudi tena juu na kujinyoosha mwenyewe kwa yule kijana. Yule kijana alipiga chafya mara saba na kisha akafungua macho yake! \v 36 36 Hivyo Elisha akamwita Gehazi na kumwambia, "Mwite yule Mshunami!" Hivyo akamwita, na wakati alipofika kwenye kile chumba, Elisha akasema, "Mchukue mtoto wako." \v 37 37 Kisha akainamisha uso wake chini kwenye miguu yake na kusujudu, na kisha kumchukua mtoto wake na kuondoka. \v 35 Baada ya hapo Elisha aliinuka na kuanza kutembea kuzunguka kile chumba na kurudi tena juu na kujinyoosha mwenyewe kwa yule kijana. Yule kijana alipiga chafya mara saba na kisha akafungua macho yake! \v 36 Hivyo Elisha akamwita Gehazi na kumwambia, "Mwite yule Mshunami!" Hivyo akamwita, na wakati alipofika kwenye kile chumba, Elisha akasema, "Mchukue mtoto wako." \v 37 Kisha akainamisha uso wake chini kwenye miguu yake na kusujudu, na kisha kumchukua mtoto wake na kuondoka.

View File

@ -1 +1 @@
\v 38 38 Kisha Elisha akarudi tena Gilgali. Kulikuwa na njaa katika nchi, na wana wa manabii walikuwa wamekaa mbele yake. Akamwambia mtumishi wake, "Weka sufuria kubwa kwenye moto na pika kwa ajili ya watoto wa manabii." \v 39 39 Mmoja wao akaenda kwenye shamba kukusanya mboga mboga. Alikuta matango ya porini na kukusanya ya kutosha hadi alipojaza kwenye nguo yake. Walizikata na kuziweka kwenye sufuria, lakini hakujua zilikuwa za aina gani. \v 38 Kisha Elisha akarudi tena Gilgali. Kulikuwa na njaa katika nchi, na wana wa manabii walikuwa wamekaa mbele yake. Akamwambia mtumishi wake, "Weka sufuria kubwa kwenye moto na pika kwa ajili ya watoto wa manabii." \v 39 Mmoja wao akaenda kwenye shamba kukusanya mboga mboga. Alikuta matango ya porini na kukusanya ya kutosha hadi alipojaza kwenye nguo yake. Walizikata na kuziweka kwenye sufuria, lakini hakujua zilikuwa za aina gani.

View File

@ -1 +1 @@
\v 40 40 Basi, wakawapakulia na kusambaziwa kwa watu kwa ajili ya kula. Baadae, kadiri walivyokuwa wakiendelea kula, walipiga kelele na kusema, "Mtu wa Mungu, kuna kifo kwenye sufuria!" Hivyo wasingeweza kula tena. \v 41 41 Lakini Elisha akasema, "Late unga." Alitupia kwenye sufuria na kusema, "Pakua kwa watu kwa ajili ya kula, kwa hiyo wanaweza kula." Kisha hapakuwa kitu chochote kibaya kwenye ile sufuria. \v 40 Basi, wakawapakulia na kusambaziwa kwa watu kwa ajili ya kula. Baadae, kadiri walivyokuwa wakiendelea kula, walipiga kelele na kusema, "Mtu wa Mungu, kuna kifo kwenye sufuria!" Hivyo wasingeweza kula tena. \v 41 Lakini Elisha akasema, "Late unga." Alitupia kwenye sufuria na kusema, "Pakua kwa watu kwa ajili ya kula, kwa hiyo wanaweza kula." Kisha hapakuwa kitu chochote kibaya kwenye ile sufuria.