Mon Apr 24 2023 15:54:21 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 15:54:22 +03:00
parent 285cd4d946
commit 2509780e73
6 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
04/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 \v 24 23 Mume wake akasema, "Kwa nini unataka kwenda kwake leo? Sio mwezi mpya wala Sabato." alijibu, "Itakuwa sawa." 24 Ndipo akatandika kwenye punda na kumwambia mtumishi wake, "Mwendeshe haraka; usinipunguzie mwendo hadi nitakapokwambia ufanye hivyo."

View File

@ -1 +1 @@
\v 25 \v 26 ." 23 Mume wake akasema, "Kwa nini unataka kwenda kwake leo? Sio mwezi mpya wala Sabato." alijibu, "Itakuwa sawa." 24 Ndipo akatandika kwenye punda na kumwambia mtumishi wake, "Mwendeshe haraka; usinipunguzie mwendo hadi nitakapokwambia ufanye hivyo." 25 Hivyo alienda na kuja na mtu wa Mungu katika mlima Karmeli. Basi wakati mtu wa Mungu alipomuona kwa mbali, akamwambia Gehazi mtumishi wake, "Tazama, mwanamke Mshunami anakuja. 26 Tafadhali mkimbilie na umwambie, 'Hamjambo kwako pamoja na mume wako na mtoto wako?" Akajibu, "Hawajambo."
\v 25 \v 26 25 Hivyo alienda na kuja na mtu wa Mungu katika mlima Karmeli. Basi wakati mtu wa Mungu alipomuona kwa mbali, akamwambia Gehazi mtumishi wake, "Tazama, mwanamke Mshunami anakuja. 26 Tafadhali mkimbilie na umwambie, 'Hamjambo kwako pamoja na mume wako na mtoto wako?" Akajibu, "Hawajambo."

1
04/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 27 Baada ya kufika kwa huyo mtu wa Mungu katika mlima, alimkumbatia miguu yake. Gehazi akaja karibu ili kumuondoa lakini mtu wa Mungu akasema, "Muache, kwa kuwa amefadhaika sana. na BWANA amenificha tatizo lake kwangu, na hajaniambia kitu."

1
04/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 \v 29 28 Ndipo akasema, "Nilikuuliza mtoto wako, bwana wangu? Sikusema, 'Usinifiche'? 29 Ndipo Elisha akamwambia Gehazi, "Vaa kwa ajili ya safari na uchukue fimbo yangu mkononi mwako. Nenda kwake. Kama ukimkuta mtu yeyote, usimsalimie, na kama mtu yeyote akikusalimia, usimjibu. Laza fimbo yangu kwenye uso wa mtoto.

1
04/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 \v 31 30 Lakini mama yake na huyo mtoto akasema, "Kama BWANA aishivyo, na kama uishivyo, sitakuacha." Hivyo Elisha akainuka na kumfuata. 31 Gehazi akawatangulia na kulaza ile fimbo kwenye uso wa yule mtoto, lakini yule mtoto hakuongea wala kusikia. Hivyo baada ya hapo Gehazi akarudi kuonana na Elisha na kumwambia akisema, "Mtoto hakuamka."

1
04/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 \v 33 \v 34 32 Ndipo Elisha alipofika kwenye ile nyumba, yule mtoto alikuwa amekufa na alikuwa bado yupo kwenye kitanda. 33 Hivyo Elisha aliingia ndani na kufunga mlango yeye mwenyewe na yule mtoto na kuomba kwa BWANA. 34 Alipanda juu na kulala juu ya yule mtoto; aliweka mdomo wake kwenye mdomo wake, macho yake kwenye macho yake, na mikono yake kwenye mikono yake. Akajinyoosha yeye mwenyewe kwa yule kijana, na mwili wa yule mtoto ukaanza kupata joto.